Simba day bila Manara ni vuruvuru

Simba day bila Manara ni vuruvuru

Manara huyu huyu mtaalamu wa kufakamia matapishi yake?
FB_IMG_1631437736314.jpg
 
Jiandae kisaikolojia Yanga Leo anashinda mechi yake huko Nigeria .Kipigo chako wewe kwenye ngao ya jamii ni wiki ijayo tu Siyo mbali 25/9/2021.Wewe Nyama pori(Simba)Utaliwa na kutafunwa bila huruma .

Yanga imejipanga kweli kweli kuchukua makombe yote msimu huu mkubali mkatae .Ole wao wanaocheka sasa maana badae watalia na kusaga meno.Mashabiki wa Simba mjiandae kisaikolojia
Kashinda njaa
 
Kuna verse ya Tz na africa so wameimba ya tz tu chemsha ubongo bro
Ukifanya hivyo huo sio wimbo wa taifa na usiseme tuimbe wimbo wa taifa. Wimbo wa taifa lazima uimbwe kwa ukamilifu wake
 
Back
Top Bottom