Nashangaa Tanzania nchi yangu leo ni siku kubwa ya Simba day na siku kubwa ya nane nane lakini umeme hakuna ivi tunalipia luku ili iweje maeneo ya Mbagala umeme hakuna waziri mwenye mamlaka leo ni siku kubwa nchini bila umeme,kazi iendelee [emoji375]