Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Nashangaa Tanzania nchi yangu leo ni siku kubwa ya Simba Day na siku kubwa ya Nanenane lakini umeme hakuna hivi tunalipia Luku ili iweje maeneo ya Mbagala umeme hakuna waziri mwenye mamlaka leo ni siku kubwa nchini bila umeme, kazi iendelee [emoji375]