kama ilivyo kawaida kila tarehe 8-8 ya kila mwaka simba hufanya tamasha ambalo hulitumia hii kutambulisha wachezaji, jezi zitakazotumiaka kwa msimu huo, kuuza jezi,kuandikisha wanachama wapya na kutoa zawadi kwa wananachama na wapenzi ambao walisha toa mchango kwa timu...tamasha hili leo linafanyeka mjini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid...nitajitahidi kuwajuza kitakachokuwa kinaendelea..
nilifatilia mazoezi ya simba tangu wafike hapa arusha, alionyesha yuko vizuri..mkuu Crashwise hasa nina hamu ya kujua kiwango cha sasa cha beki nguli Tanzania nzima Victor Nampoka Costa "Nyumba".alivyoumia wadau walisema kwishney! Tena kigogo mmoja pale TFF aliniambia yule basi tena
acha uoga kama kwenda nje ndiyo mafanikio basi wangeenda hispania au brazil ili wakirudi wachukue kombe la kabu ingwa afrika lakini kama ni hapo sudani hatutishiki...tz tulienda kuweakmb brazil karibu mwezi lakini mehi iliyofua tuliadkwa nne..tunashukuru..ila waambie wenzao..Yanga na Azam wako Nje ya nchi wanajipima Nguvu..kabla kuanza ligi..wao wako na Tamasha..tucje kufungwa mechi ya ngao..tukatafuta sababu..eti maandalizi mabovu..kumbe tunacheza Bonanza