Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
kama ilivyo kawaida kila tarehe 8-8 ya kila mwaka simba hufanya tamasha ambalo hulitumia hii kutambulisha wachezaji, jezi zitakazotumiaka kwa msimu huo, kuuza jezi,kuandikisha wanachama wapya na kutoa zawadi kwa wananachama na wapenzi ambao walisha toa mchango kwa timu...tamasha hili leo linafanyeka mjini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid...nitajitahidi kuwajuza kitakachokuwa kinaendelea..