OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tupe experience ya fungulia mbwa, mliwezaje kusubiri muda woteKiingilio cha 5000/= ndio fungulia mbwa yenyewe. Kiingilio kimepangwa kulingana na starehe inayo tarajiwa.
Hakuna starehe yoyote ya maana utapata kwa 5000/=
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yanga pamoja na kufungulia Mbwaa haukujaaKiingilio cha 5000/= ndio fungulia mbwa yenyewe. Kiingilio kimepangwa kulingana na starehe inayo tarajiwa.
Hakuna starehe yoyote ya maana utapata kwa 5000/=
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
hata vilabu vya matapu tapu vinajaza watu kwa pombe za jero jero, mwisho wa siku mauzo laki 2Yanga pamoja na kufungulia Mbwaa haukujaa