OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Updates
Updates
Tiketi za Simba Day ziinapukutika. Ukisubiri kukata siku ya mechi utaumbuka. Kachukue leo kama sio leo. Hakutakuwa na fungulia mbwa kama Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe experience ya fungulia mbwa, mliwezaje kusubiri muda woteKiingilio cha 5000/= ndio fungulia mbwa yenyewe. Kiingilio kimepangwa kulingana na starehe inayo tarajiwa.
Hakuna starehe yoyote ya maana utapata kwa 5000/=
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yanga pamoja na kufungulia Mbwaa haukujaaKiingilio cha 5000/= ndio fungulia mbwa yenyewe. Kiingilio kimepangwa kulingana na starehe inayo tarajiwa.
Hakuna starehe yoyote ya maana utapata kwa 5000/=
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
hata vilabu vya matapu tapu vinajaza watu kwa pombe za jero jero, mwisho wa siku mauzo laki 2Yanga pamoja na kufungulia Mbwaa haukujaa