Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jaribu basi hata kushirikisha ubongo. Ligi imechelewa kuisha na itachelewa kuanza pia. Sasa kuna ulazima gani kuwa tarehe 8 wakati usajili bado unaendelea, jezi mpya bado utatambulisha wachezaji gani. Simba day ipo baada ya kambi ya pre season Morocco.Kwani Simba day ni mwezi mzima?Si siku moja
Tu?Halafu wapi nimesema lazima iwepo?
Nimeuliza imefutwa?
Imradi tu aandikeHebu jaribu basi hata kushirikisha ubongo. Ligi imechelewa kuisha na itachelewa kuanza pia. Sasa kuna ulazima gani kuwa tarehe 8 wakati usajili bado unaendelea , jezi mpya bado utatambulisha wachezaji gani. Simba day ipo baada ya kambi ya pre season morocco.
Simba bila Manara ni sawa na BMW mpya, Kali Sana, Full tank lakini HAINA matairi.Kuna anaejua Simba day ya kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane imekuwaje mwaka huu?? Imefutwa? Kubadili tarehe?
Au kuna kauli rasmi imetoka??
Hili tangazo umelitoa wapi hata kuandika hawajui.Haijafutwa Mkuu. It's loading....! Stay tunedView attachment 1886812
Kwani Mwaka Jana ilifanyika mwezi wa 8 tarehe ngapi? Au ndio Manara kakukaririsha kuwa ni lazima tarehe 8?Kuna anaejua Simba day ya kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane imekuwaje mwaka huu? Imefutwa? Kubadili tarehe?
Au kuna kauli rasmi imetoka?
Nilikuwa sijamsomaga, alikuwa akujaga na viuzi vyake vya kidaku Leo ndio nimejua ni UtopoloUkubwa wa Simba ndo huu, mleta uzi ni yanga ila anaiwaza Simba tu. Kwa burudani ya Simba unaachaje kuimisi.
Viongozi wetu tutangazieni Simba super cup ni lini.
Kuna anaejua Simba day ya kila mwaka tarehe 8 mwezi wa nane imekuwaje mwaka huu? Imefutwa? Kubadili tarehe?
Au kuna kauli rasmi imetoka?