Simba day mnazingatia uwepo wa COVID-19?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono.

TFF inaruhusu mashabiki wachache kuingia viwanjani kuona mpira, je hii Ni kwa mpira tuu na sio kwenye matamasha.

Corona bado ipo
 
Mkuu yanayoendelea sasahivi kwenye zile mikutano za mbeligiji mwenye damu ya wakenya anaesadikika anatafta wadhamini siyo hata ya kuiwekea doubt TFF kuhusu idadi ya watakaoingia siku hiyoo.

Kama Corona ingelikuwepo Basi wagonjwa wa Covid19 wangejaa mpaka kumwagikia hospital maana siyo kwa nyomi Ile ya mikutano ya kusaka wadhamini.
 
Covid-19 kwa Tanzania haipo.utopolo mnamajungu sana.tuacheni Simba tule mema ya nchi.
Simba Sports Club + Simba Chibu Dangote watatupa burudani swafi kabisa kwenye kilele cha Simba day.
Utopolo mje kwa wingi ila mje na vidonge vya maumivu.
 
We na Rais wa nchi nani tumsikilize?

Rais wa nchi keshasema hakuna corona.Watu kama ninyi ni wa kupuuza tu
Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono.

TFF inaruhusu mashabiki wachache kuingia viwanjani kuona mpira, je hii Ni kwa mpira tuu na sio kwenye matamasha.

Corona bado ipo
 
Covid-19 kwa Tanzania haipo.utopolo mnamajungu sana.tuacheni Simba tule mema ya nchi.
Simba Sports Club + Simba Chibu Dangote watatupa burudani swafi kabisa kwenye kilele cha Simba day.
Utopolo mje kwa wingi ila mje na vidonge vya maumivu.
TFF wanajikanganya kuzuia mashabiki wasiingie viwanjani kuona mechi. Basi Mh. Ummy Mwalimu aseme kamati ya COVID-19 imevunjwa rasmi Tanzania hakuna CORONA.
 
Sawasawa kabisa.
tapatalk_1546940119668.jpg
 
TFF wanajikanganya kuzuia mashabiki wasiingie viwanjani kuona mechi. Basi Mh. Ummy Mwalimu aseme kamati ya COVID-19 imevunjwa rasmi Tanzania hakuna CORONA.
Simba ndo serikali bwashee.
Ummy mwalimu ni shabiki wa Costal Union .
Costal union ni mtoto pendwa wa Simba Sports Club.
 
Back
Top Bottom