Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono.
TFF inaruhusu mashabiki wachache kuingia viwanjani kuona mpira, je hii Ni kwa mpira tuu na sio kwenye matamasha.
Corona bado ipo
TFF wanajikanganya kuzuia mashabiki wasiingie viwanjani kuona mechi. Basi Mh. Ummy Mwalimu aseme kamati ya COVID-19 imevunjwa rasmi Tanzania hakuna CORONA.Covid-19 kwa Tanzania haipo.utopolo mnamajungu sana.tuacheni Simba tule mema ya nchi.
Simba Sports Club + Simba Chibu Dangote watatupa burudani swafi kabisa kwenye kilele cha Simba day.
Utopolo mje kwa wingi ila mje na vidonge vya maumivu.
Sawasawa kabisa.Covid-19 kwa Tanzania haipo.utopolo mnamajungu sana.tuacheni Simba tule mema ya nchi.
Simba Sports Club + Simba Chibu Dangote watatupa burudani swafi kabisa kwenye kilele cha Simba day.
Utopolo mje kwa wingi ila mje na vidonge vya maumivu.
Simba ndo serikali bwashee.TFF wanajikanganya kuzuia mashabiki wasiingie viwanjani kuona mechi. Basi Mh. Ummy Mwalimu aseme kamati ya COVID-19 imevunjwa rasmi Tanzania hakuna CORONA.