Kila mtu afanye mambo yake kwa jinsi anavyoona...Mbona yanga washasema wao wanacheza na vipers
Zeru zeru friji lake haligandishi yule.Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Lile jamaa lilikua linavujisha paperSasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao👏🏿👏🏿
Watacheza na mabingwa wenzao...ni timu bingwa katika nchi husika ya Africa.Nimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.
Mpira ushaingiliwa na siasa za kutegeana baina ya simba na yanga.....
Unataka kumsingizia yule jamaa?Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma...
Mbumbumbu kwenye uboraSasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao👏🏿👏🏿
Zeruzeru domokunuka ndiye alikuwa anavujisha mipango ya SimbaSasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Usajili wa Phiri, Akpan, Okrah, Sakho, Inonga, Kanoute, Outtara kavujisha nani?Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Wewe ndie uliyekua hujui Dili la M- bet, M- bet wametoa 2.5 b Kwa mwaka na Kwa miaka mitano ni 12.5 b yaliyobaki ni mambo yenu ya ki mbumbumbu fc.Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]