Simba day ni Simba vs nani?

Simba day ni Simba vs nani?

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Nimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.

Mpira ushaingiliwa na siasa za kutegeana baina ya simba na yanga.....
 
Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao👏🏿👏🏿
 
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Zeru zeru friji lake haligandishi yule.
 
Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao👏🏿👏🏿
Lile jamaa lilikua linavujisha paper
 
Nimekuwa na shauku ya kutaka kujua siku ya simba day. Simba anaenda kucheza na timu gani? Naona ukimya umekuwa mkubwa tofauti na siku za nyimba tungekuwa tushajua mpka sasa.

Mpira ushaingiliwa na siasa za kutegeana baina ya simba na yanga.....
Watacheza na mabingwa wenzao...ni timu bingwa katika nchi husika ya Africa.

Usiwe na wasiwasi Simba haijawahi kuwaangusha wana Simba ama Watanzania.

Kata tiket yako mapema ukashuhudia uhondo.
 
Simba sasahivi ni wasiri sana.hakika kweli Simba wameondoa virusi[emoji123]
 
Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao👏🏿👏🏿
Mbumbumbu kwenye ubora
 
Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Zeruzeru domokunuka ndiye alikuwa anavujisha mipango ya Simba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Usajili wa Phiri, Akpan, Okrah, Sakho, Inonga, Kanoute, Outtara kavujisha nani?
 
Sasa hivi nimeshajua ni nani aliekuwa akivujisha taarifa hapo siku za nyuma. Imagine dili na M-Bet hakuna aliejua ni udhamini wa kiasi gani umewekwa. Mpaka sasa huku mtaani hakuna ajuae jezi za timu zikoje, mpaka sasa hatujui Simba dat nani timu mualikwa.
Kongole sana kwao[emoji1547][emoji1547]
Wewe ndie uliyekua hujui Dili la M- bet, M- bet wametoa 2.5 b Kwa mwaka na Kwa miaka mitano ni 12.5 b yaliyobaki ni mambo yenu ya ki mbumbumbu fc.
 
FB_IMG_16595442466763197.jpg
 
Back
Top Bottom