Simba Day v/s Wananchi Day, Compare and Contrast

Yani wewe ndo mbumbumbu kuliko hata unaowasema wenzio.
Hivi Kenya na Zambia nchi gani inapeleka timu nyingi Kwenye mashindano ya CAF.
Pili hiyo kariobang ya Kenya imeshika nafasi ya ngapi Kwenye ligi kuu yao.
Ili nikutoe Kwenye umbumbumbu nijibu hayo maswali., sio kuleta hadithi za hovyo kabsa.
Yani ufananisha kiwango cha Zambia na Kenya Kwenye soka Afrika. We ni hamnazo kabsa.
 
hao nyangumi wa kariobangi wanashiriki ligi gani bara?
 
makirikiri rollers haya hapa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…