Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Miaka yote Simba day imekuwa ikifurika umati wa watu, uwanja unajaza mashabiki na nje kumejaa mashabiki, ni siku ambayo mnyama anatambulisha wachezaji wake wapya.
Usajili wa wachezaji wapya ndio unaowavutia watu hata wengine kutoka mikoani kuja kuujaza uwanja.
Kwa namna usajili wa msimu ujao unavyokwenda, naona tunakwend kudhalilika, msimu ujao tuna michuano mingi, lazima tuwe na wachezaji wa ushindani kwel sio masihara, ninahofia sana kama Simba day tutaweza kujaza uwanja kama watakavyofanya Yanga.Wao watajaza mapema sana uwanja kwa sababu ya akina Morrison.
Labda tumlete Wizzkid au Burna Boy.