Simba Day ya mwaka huu, kuujaza uwanja labda aje Wizz Kid au Burna Boy

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Miaka yote Simba day imekuwa ikifurika umati wa watu, uwanja unajaza mashabiki na nje kumejaa mashabiki, ni siku ambayo mnyama anatambulisha wachezaji wake wapya.

Usajili wa wachezaji wapya ndio unaowavutia watu hata wengine kutoka mikoani kuja kuujaza uwanja.

Kwa namna usajili wa msimu ujao unavyokwenda, naona tunakwend kudhalilika, msimu ujao tuna michuano mingi, lazima tuwe na wachezaji wa ushindani kwel sio masihara, ninahofia sana kama Simba day tutaweza kujaza uwanja kama watakavyofanya Yanga.Wao watajaza mapema sana uwanja kwa sababu ya akina Morrison.

Labda tumlete Wizzkid au Burna Boy.
 
Haaa wapi umechemka.
mashabiki wa Simba habari nyingine kabisa kwa timu yao,Simba ilipo na wao wapo iwe usiku au mchana jua ama mvua wapooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana

Back
Top Bottom