Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Unatokea mwanetungo bila shaka, tuachie Simba yetu haikuhusu dogo.Miaka yote Simba day imekuwa ikifurika umati wa watu, uwanja unajaza mashabiki na nje kumejaa mashabiki, ni siku ambayo mnyama anatambulisha wachezaji wake wapya...
Acha umbumbumbu simba ni timu ya jamii siyo yako kuwa mtu asiongee ukweli kdg anaukuwa siyo mwana simbaUnatokea mwanetungo bila shaka, tuachie Simba yetu haikuhusu dogo.
Mbumbumbu mwenyewe, hujui hata kuandika mixiu***mvuuuuu!Acha umbumbumbu simba ni timu ya jamii siyo yako kuwa mtu asiongee ukweli kdg anaukuwa siyo mwana simba
Wanaume hawatumii hayo maneno, au we mwenzetu kipa katoka?Mbunumbu mwenyewe, hujui hata kuandika mixiu***mvuuuuu!
🤣🤣🤣🤣🤣Labda wamuite OKW BOBAN SUNZU ama GENTAMYCINE a-perform
Acha ukichaa Simba tulijaza uwanja na itaendelea kujaza uwanja, wachezaji wetu ndio timu yetuMiaka yote Simba day imekuwa ikifurika umati wa watu, uwanja unajaza mashabiki na nje kumejaa mashabiki, ni siku ambayo mnyama anatambulisha wachezaji wake wapya...
Yenu wewe na nani?Unatokea mwanetungo bila shaka, tuachie Simba yetu haikuhusu dogo.
Hapo ndo mwisho wa akili yako.Tutaleta kitimoto ijaze uwanja
Mashabiki wote wa SimbaYenu wewe na nani?
Acha ujingaWanaume hawatumii hayo maneno, au we mwenzetu kipa katoka?
Miaka yote Simba day imekuwa ikifurika umati wa watu, uwanja unajaza mashabiki na nje kumejaa mashabiki, ni siku ambayo mnyama anatambulisha wachezaji wake wapya.
Usajili wa wachezaji wapya ndio unaowavutia watu hata wengine kutoka mikoani kuja kuujaza uwanja.
Kwa namna usajili wa msimu ujao unavyokwenda, naona tunakwend kudhalilika, msimu ujao tuna michuano mingi, lazima tuwe na wachezaji wa ushindani kwel sio masihara, ninahofia sana kama Simba day tutaweza kujaza uwanja kama watakavyofanya Yanga.Wao watajaza mapema sana uwanja kwa sababu ya akina Morrison.
Labda tumlete Wizzkid au Burna Boy.
Afu kwanin mashabiki wa timu za nyumbani mnalazimisha timu ifanye usajili wa watu 20 Kwa mara moja nyiny Kila mwaka Kuna sehemu mnashida sanaLakn Usajili bado unaendelea mkuu,
Ikumbukwe dirisha linafungwa 31august