Na wengine uwanja wa uhuruSELCOM wametoa takwimu za uongo. Hapi kuna upigaji nje nje....58000 vipi yani kitu kilitapka watu wakakaa kwenye ngazi
Huyu Mzee usifananishe na wale vigori wa SimbaHuyu mmoja peke yake kafunika wote hao wenye nywele zilizoanzia utosini yan ualaza [emoji1787]View attachment 1176169View attachment 1176170
Sio makisio ni sahihi. Uwanja unachukua watu elf 60 hii ikiwa pamoja na wageni waalikwa mbalimbali na waandishi wa habari ambao Sasa wanatengewa eneo Lao maalumu jukwaani. Wapiga picha ndo wanaweza kuwa chini uwanjanj.Yale yalikuwa Makisio β Estimate β
.Kulingana na takwimu zilizotolewa na kampuni ya Selcom, Simba imevuna zaidi ya Milioni 376 kupitia Tamasha lake la Simba Day lililohitimishwa uwanja wa Taifa juzi
Mashabiki zaidi ya 58,000 waliingia uwanjani kuushuhudia mchezo huo
Takwimu hizo ni zaidi ya walizopata watani zao Yanga ambao mashabiki takribani 48,000 waliingia uwanjani na kuvuna Milioni 283
Takwimu hizo pia zinafunga mjadala wa ni klabu ipi iliingiza mashabiki wengi
Kila siku mnaonewa nyie TuSelcom ni wezi....yanga sidhani kama iliingiza watu 48000
Kweli hili ni dela angalia mikononiHuyu mmoja peke yake kafunika wote hao wenye nywele zilizoanzia utosini yan ualaza [emoji1787]View attachment 1176169View attachment 1176170
Zilizokua zimeuzwa zote ni mzunguko. Lakini uku VIP kulikua ma wageni ambao sidhani ka walikatiwa tiketi. Mfano simba queen na timu iliyocheza nao, Simba under 20 na timu iliyocheza nao. Wageni wote walokaa jukwaa kuu.Mkuu acha uongo, hebu nenda official account ya twitter ya Simba wanakwambia SOLD OUT all tickets leo ww waja na 58000, how come? !
π π π πKazi kwako
chaghua yeyote unijulishe.tufanye mpango
Shadeeya yako utaijia lini?
View attachment 1175903
Na zaidi.Mbona walitangaza siku ya simba day kwamba jumla ya tiketi zilizouzwa ni 60,000
Mkuu acha uongo, hebu nenda official account ya twitter ya Simba wanakwambia SOLD OUT all tickets leo ww waja na 58000, how come? !
Watoto wakali mjini ni Wema,Uwoya,Wolper,Batuli,Poshy Queen,Sanchoka nk wote Yanga Sasa watoto wazuri wa mikia wakina Nani?Hii chama lina bahati ya kushangiliwa na watoto wazuri;