Simba day yaingiza milion 376

Simba day yaingiza milion 376

Yale yalikuwa Makisio ‘ Estimate ‘
Sio makisio ni sahihi. Uwanja unachukua watu elf 60 hii ikiwa pamoja na wageni waalikwa mbalimbali na waandishi wa habari ambao Sasa wanatengewa eneo Lao maalumu jukwaani. Wapiga picha ndo wanaweza kuwa chini uwanjanj.
 
Kulingana na takwimu zilizotolewa na kampuni ya Selcom, Simba imevuna zaidi ya Milioni 376 kupitia Tamasha lake la Simba Day lililohitimishwa uwanja wa Taifa juzi

Mashabiki zaidi ya 58,000 waliingia uwanjani kuushuhudia mchezo huo

Takwimu hizo ni zaidi ya walizopata watani zao Yanga ambao mashabiki takribani 48,000 waliingia uwanjani na kuvuna Milioni 283

Takwimu hizo pia zinafunga mjadala wa ni klabu ipi iliingiza mashabiki wengi
.
tapatalk_1565235469471.jpeg
 
Mkuu acha uongo, hebu nenda official account ya twitter ya Simba wanakwambia SOLD OUT all tickets leo ww waja na 58000, how come? !
Zilizokua zimeuzwa zote ni mzunguko. Lakini uku VIP kulikua ma wageni ambao sidhani ka walikatiwa tiketi. Mfano simba queen na timu iliyocheza nao, Simba under 20 na timu iliyocheza nao. Wageni wote walokaa jukwaa kuu.
 
Uwanja wa Taifa viti havijafika 60000 ni 58000+
 
hapa kuna wizi mkubwa...hawa selcom wachunguzwe na takukuru...mechi ya simba watu walijaa mpaka wengine tukakosa sehem ya kukaa...hawa wahun either wapo indirect kwa kushirikiana na baadhi ya viingozi wa simba na yanga..au wenyewe wanapiga...huu ni uhun yan
 
Back
Top Bottom