Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hapo safii, siku ukinifunga usijisumbue kupika huwa chakula hakipiti kabisaaHapana beb ya uwanjani tunayaacha kwa mkapa. 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo safii, siku ukinifunga usijisumbue kupika huwa chakula hakipiti kabisaaHapana beb ya uwanjani tunayaacha kwa mkapa. 😀
Hiyo ya kati imenibarikiKazi kwako
chaghua yeyote unijulishe.tufanye mpango
Shadeeya yako utaijia lini?
View attachment 1175903
Usiwe hivyo bnaa ..Hapo safii, siku ukinifunga usijisumbue kupika huwa chakula hakipiti kabisaa
Umeipata;Hiyo ya kati imenibariki
Tiketi za 5,000/= zilikuwa nyingi. Wangeweka sh. 7,000/= hadi 10,000/= katika hizo, kitu kingekaribia 0.5BMbona hela ndogo sana...
Selcom ni wezi....yanga sidhani kama iliingiza watu 48000
Hiyo ya kati imenibariki
Watu waliingia zaidi ya hio idadi...apo selcom wamepiga pesa .48000 uwanja ungekua na spaceIliingiza zaidi au pungufu ya hiyo figure 48,000?
Waliingia watu zaidi ya 48000..hapo selcom wamepika data na kuiba pesa za idadi ya watu wengineIliingiza wangapi? 😀
Friends of simba wamecheza na selcom kuihujumu Yanga,jamaa wanatumia nguvu nyingi sana kuwadanganya washabiki wao!Selcom ni wezi....yanga sidhani kama iliingiza watu 48000
Huyu mmoja peke yake kafunika wote hao wenye nywele zilizoanzia utosini yan ualaza [emoji1787]Kazi kwako
chaghua yeyote unijulishe.tufanye mpango
Shadeeya yako utaijia lini?
View attachment 1175903
Duuh ndomana jk alisema yanga BaridiiiiiiiFriends of simba wamecheza na selcom kuihujumu Yanga,jamaa wanatumia nguvu nyingi sana kuwadanganya washabiki wao!