Naomba nitoe angalizo mapema" mimi siyo mtu wa mpira" hili ninaloandika nimepewa taarifa na chanzo changu cha taarifa.
Kwa mujibu wa chanzo changu cha taarifa ni kwamba ukimya wa Simba ktk dirisha hili dogo siyo kwamba kuna cha maana wanachofanya. Hakuna.
Kanuni za usajili zinasema ktk dirisha dogo club inapomuondoa mchezaji ambaye mkataba wake unaendelea (haujamalizika) ni lazima imtafutie club mbadala.
Sasa basi, viongozi wa Simba walifanya usajili wa kimihemko. Wachezaji wengi walipewa mikataba mirefu. Karubia wote wasiocheza vizuri mikataba yao inaendelea. Na hawana pa kuwapeleka. Club gani itawakubali na kwa mishara mikubwa waliosainiana?
Mchezaji pekee ambaye mkataba wake uko ukingoni ni Ntibazonkiza lkn huyu ni tegemeo kwa Simba kuliko hao wengine. Sasa viongozi wa Simba wanachofanya muda huu kukuna vichwa. Wanawaza wakimpa thank you huyu Ntibazonkiza, watapata wapi mbadala?
Mmakonde kagoma, chama bado yupo pamoja na shida zake zote na Phiri yeye anapambana kutafuta club, akipata ataondoka.
Kwahiyo Simba wameyatimba!
Hayo ndiyo maelezo ya source wangu.