Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la vifaa vya club kama jerseys, training suits, scarfs, bandana, head bands, soccer balls, flags, posters, vuvuzelas, kanga, diras, hats and other sports and funs gears. They should include also Simba souvenirs in order to boost club's income.