Simba: Duka la club vipi?

Simba: Duka la club vipi?

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la vifaa vya club kama jerseys, training suits, scarfs, bandana, head bands, soccer balls, flags, posters, vuvuzelas, kanga, diras, hats and other sports and funs gears. They should include also Simba souvenirs in order to boost club's income.
 
Timu kama Timu Inatakiwa iwe na Vitega uchumi Vyake Jifunzeni kwa Yanga baada ya Manji kuondoka Nini Kilitokea..Duka ni wazo zuri sana kinachotakiwa watu wa marketing wafanye promotion za kutosha na huu ujanja ujanja wa kuuza vifaa vya timu kwenye maduka binafsi/machinga ustopishwe labda kwq Vibali Maalumu..Mo anawafundisha Kusonga Ugali Bila Kujua Mahindi yanalimwaje.
 
Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la vifaa vya club kama jerseys, training suits, scarfs, bandana, head bands, soccer balls, flags, posters, vuvuzelas, kanga, diras, hats and other sports and funs gears. They should include also Simba souvenirs in order to boost club's income.
Nashangaa Senzo hakuliona hili, hata mwekezaji nae hajaona. Hii ni bonge la idea.

Vv
 
Vi Miradi vidogo vidogo kama hivyo vya fremu vinawafaa vyura...!!
 
Nashangaa Senzo hakuliona hili, hata mwekezaji nae hajaona. Hii ni bonge la idea.

Vv
Yawezekana Senzo amehamia na wazo la duka kunako klabu ya Yanga. Yanga tayari
IMG_20200904_215047.jpg
 
Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la vifaa vya club kama jerseys, training suits, scarfs, bandana, head bands, soccer balls, flags, posters, vuvuzelas, kanga, diras, hats and other sports and funs gears. They should include also Simba souvenirs in order to boost club's income.
mkuu hiyo nikazi ya ajenti co ya club kama atataka mlango ili auze vifaa itabidi alipo kodi club inapokea mpunga waliyokubaliana tu anauzia wapi hilo co jukumu letu ikubukwe kuwa club ilijaribu kufanya hiyo biashara na ikaishia kupata hasara tu
 
Unaweza ukafungua duka likakosa wateja, ukaishia kuingia gharama za uendeshaji. Sio kila kitu cha kuiga, mwenzio anafungua biashara ya vitumbua na wewe eti unafungua, kumbe mwenzio ana mbinu za kukwepa kodi
 
Kwa Yale malonya lonya yenu mekundu kama matambala ya waganga Wa kienyeji na mengine yamefanana na majuisi ya muhindi bora tu msifungue hilo duka.
 
Back
Top Bottom