Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Hautaki kufanya kazi kwakuwa Mwamedi atakufanyia?!! Mmesahau Mo ni Mhindi! !Biashara zinafanywa na Makampuni ya Mwamwedi, Simba itaendelea kubakia klabu ya burudani tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa Senzo hakuliona hili, hata mwekezaji nae hajaona. Hii ni bonge la idea.Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la vifaa vya club kama jerseys, training suits, scarfs, bandana, head bands, soccer balls, flags, posters, vuvuzelas, kanga, diras, hats and other sports and funs gears. They should include also Simba souvenirs in order to boost club's income.
Yawezekana Senzo amehamia na wazo la duka kunako klabu ya Yanga. Yanga tayariNashangaa Senzo hakuliona hili, hata mwekezaji nae hajaona. Hii ni bonge la idea.
Vv
Duh!! Upo serious kweli? Hakika wewe ni shabiki wa mbumbumbu fcBiashara zinafanywa na Makampuni ya Mwamwedi, Simba itaendelea kubakia klabu ya burudani tu!
Duh mbumbumbu pure kabisaVi Miradi vidogo vidogo kama hivyo vya fremu vinawafaa vyura...!!
Ujio wa hili duka ulitangazwa hata kabla ya Senzo kuhamia timu ya wananchiYawezekana Senzo amehamia na wazo la duka kunako klabu ya Yanga. Yanga tayari View attachment 1558741
mkuu hiyo nikazi ya ajenti co ya club kama atataka mlango ili auze vifaa itabidi alipo kodi club inapokea mpunga waliyokubaliana tu anauzia wapi hilo co jukumu letu ikubukwe kuwa club ilijaribu kufanya hiyo biashara na ikaishia kupata hasara tuClub ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la vifaa vya club kama jerseys, training suits, scarfs, bandana, head bands, soccer balls, flags, posters, vuvuzelas, kanga, diras, hats and other sports and funs gears. They should include also Simba souvenirs in order to boost club's income.
Yawezekana Senzo amehamia na wazo la duka kunako klabu ya Yanga. Yanga tayari View attachment 1558741