SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huwez ku support simba wakati ikifungwa vivyo hivyo usi support wakati ikishinda maandazi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa hajui kua shabiki wa kweli anaumia zaid...ukifungwa na team kama Al Ahly inakua afadhal coz unajiandaa na matokeo yote matatu...kwa kikos kilichocheza leo na ukubwa wa mechi mimi nilitegemea ushindi tena...matokeo haya yanaumiza sana....pamoja na kupigwa na AS VITA bado nlikua na hope ya kufanya vizur kwenye kundi ila baada ya hii mechi moyo wangu unatetemeka...nataman hata hio mechi isichezwe etiHakuna shabiki anayejielewa atasapoti uduanzi.au wewe hukuona aina ya mpira uliokua unachezwa?.Ushabiki sio kushabikia tu ata timu inapoboronga kwasababu za ovyo.
Mabonde mengine ya kujitakia tuMshabiki wa simba mwenye mapenzi ya dhati na timu yangu katika vilima na mabonde tutapita sote
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo kocha wa underdog ni mcheza mielėka tu kama Huuk OrganKocha Simba ni walewale wapigaji fedha. Mimi nimeipitia ÇV yake hana miaka zaidi ya 2 kwenye klabu yoyote aliyofundisha. Zahera kocha lakini Aussems muhamasishaji tu au kizungu cheer leader tu
Miaka yote tumekua tukipeleka kikosi cha pili sportpesa lakini this time tumepeleka mashine zetu zote...inatokeaje tunafungwa na bandari tena kwa overcome
hivi mbna hii aibu kubwa kwa taifa yaani miaka 3 mfululizo tunakua wanyonge kwa wakenya...wanaionaje ligi yetu wanaionaje simba na kauli yetu inayosema tunawakilisha east na central Africa kwenye CAF
kiukweli leo nimeumia had kutamani kulia...kwel wakenya wanaondoa team za Tanzania kubwa zote
Sasa woote tuungane kuinga mkono mbao labda tutaiasemea nchi kupitia wao...bora tungeshinda wote Simba na Mbao af mbao achukue ubingwa kuliko hili..I, SINA JAMBO nawaomba mbao mtumie njia hata za uchawi mchukue hili kombe
LETS SUPPORT MBAO
I AM SINA JAMBO
=======
KIKOSI cha Bandari FC kutoka Kenya kimetinga hatua ya fainali baada ya kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Taifa leo.
Simba walikuwa wa kwanza kuandika bao kipindi cha kwanza dakika ya 45 kupitia kwa mshambuliaji Meddie Kagere ambalo lilidumu kwa muda wa mpaka dakika ya 59 ambapo Bandari walifunga bao kwa mkwaju wa Penalti lililofungwa na William Waydi.
Dakika ya 75 Bandari walifunga bao la pili kupitia kwa Wilberforce Lugogo baada ya kukutana na mpira uliotemwa na Manula na kuifanya Simba kuwa nyuma kwa bao 1.
Kwa matokeo hayo Simba wanaishia hatua ya nusu fainali watasubiri atakayefungwa katika mchezo wa Mbao na KK Sharks kucheza mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nyinyi YANGA nyinyiPole sana, karibu sana al ahly the big club in afrika. Hutojutia mukuu. Achana na hao