SIMBA FC, Aibu mliyotupa leo mashabiki wenu bora hata kufungwa 10 na Al Ahly

Hakuna shabiki anayejielewa atasapoti uduanzi.au wewe hukuona aina ya mpira uliokua unachezwa?.Ushabiki sio kushabikia tu ata timu inapoboronga kwasababu za ovyo.
huyu jamaa hajui kua shabiki wa kweli anaumia zaid...ukifungwa na team kama Al Ahly inakua afadhal coz unajiandaa na matokeo yote matatu...kwa kikos kilichocheza leo na ukubwa wa mechi mimi nilitegemea ushindi tena...matokeo haya yanaumiza sana....pamoja na kupigwa na AS VITA bado nlikua na hope ya kufanya vizur kwenye kundi ila baada ya hii mechi moyo wangu unatetemeka...nataman hata hio mechi isichezwe eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha Simba ni walewale wapigaji fedha. Mimi nimeipitia ÇV yake hana miaka zaidi ya 2 kwenye klabu yoyote aliyofundisha. Zahera kocha lakini Aussems muhamasishaji tu au kizungu cheer leader tu
 
Nafasi ya 3 anachua mtani wa jađi Mbao ambae aliwatungua kwenye ligi
 
Kocha Simba ni walewale wapigaji fedha. Mimi nimeipitia ÇV yake hana miaka zaidi ya 2 kwenye klabu yoyote aliyofundisha. Zahera kocha lakini Aussems muhamasishaji tu au kizungu cheer leader tu
Uyo kocha wa underdog ni mcheza mielėka tu kama Huuk Organ
 

Pole sana, karibu sana al ahly the big club in afrika. Hutojutia mukuu. Achana na hao
 
Ndio madhara ya kubet hyo. Dadadek
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…