Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
4,055
Reaction score
8,540
Simba leo tunapindua, matokeo, hakika tutawashangaza hatoki mtu Leo. kwa mchina ni machinjioni kwa yeyote anaye karibishwa tulianza na Swaziland mbane, akafuata nkana akaja mwarabu js soura toka Algeria,

Eee yarabi tunakuomba siku ya Leo, tusamehe pale pote tulipokosoea utusaidie tuweze kurudisha magoli yote, kama ulivyoweza kulisafisha jina la MAN CITY dhidi ya CHELSITA, tusafishe pia sisi zidi ya hao watoto wa farao....Amen.

Uyo Al ahly ndio nani???? Mpapaso square lazima umuhusu Leo.
IMG_20190212_125520_753.JPG



Wazee wenzangu wa jamvi mnyama ana oddz ya point 3, unaaza anzaje kuziacha sasa. Hii mechi ni ngumu kwa al ahaly ndomana kapewa oddz ya mbili, akili Ku mkichwa kila la heli mnyama


Updates
FT Simba 1 _ All ahly 0

Mpapaso umekalimika, kuna watu mnateseka uko?
 
Wabongo tunajuwa mpira wa maneno tu,michezo tunayoweza kushinda ni ya majungu na ngono kama Bigbraza.fulltime Aly ahly -100000 Simba sports club- 0.
 
Wabongo tunajuwa mpira wa maneno tu,michezo tunayoweza kushinda ni ya majungu na ngono kama Bigbraza.fulltime Aly ahly -100000 Simba sports club- 0.
Mkuu hii ni Africa tofauti yetu kwenye kandanda ni ndogo sana, ndomana js soura tulimpiga 3 kavu hapa taifa, lakini kwao kule akamsumbua al ahly huyu aliyetupiga 5 na almanisura amfunge sema referee aliwabeba, Why not asife hapa tanzania.
 
Simba anapigwa kiganja tena leo
Mkuu hii ya leo ni sendoff mwali wetu tutamtunza kisawa kisawa lakini harusi kamili ni tarehe 16, mda wa mkongomani kurudi kwao kuendelea na kazi yake ya boringo umewadia
 
Back
Top Bottom