Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Hajjat na wewe pia unakaribishwa kushudia utoaji posa wa kwa binti mrembo wa kiarabu jioni ya Leo, ndoa kamili ni wkend hii tarehe 16 apo apo taifa, kufika kwako kutafanikisha shughuli hizi mbili kikamilifu asante.
Hahahaaaa. Hapo mjipange kuwa kinyume chake Mkuu.
 
hahahaha mkuu umenifanya nicheke peke yangu" hawa mlio watuma watulegeze, sijui kama wa taiweza iyo kazi mliyowapatia.
Ila sipati picha Mtavotujia na machungu baada ya hizi mechi, na tulivyowacheka kwa vipigo mlivovipata, sijui mtatuloga vipi safari hii, Mo anaweza kutoa hata milioni 500 uchawi ufuatwe Togo ilimradi mtupige
 
Hahahaaaa. Hapo mjipange kuwa kinyume chake Mkuu.
Hahaha, huyu mliyempa kazi ya kutulegeza ataweza mkuu??? Tarehe 16 tunataka kuwasaidia kumrudisha mkongomani kwao ili akaendelee na kazi yake ya zamani yakuimba boringo nangai.
 
Ila sipati picha Mtavotujia na machungu baada ya hizi mechi, na tulivyowacheka kwa vipigo mlivovipata, sijui mtatuloga vipi safari hii, Mo anaweza kutoa hata milioni 500 uchawi ufuatwe Togo ilimradi mtupige
hahahahhaha kazi kweli kweli
 
Simba Leo anashinda 3 kwa 1
Makosa hayatajirudia Tena Leo kwa mchina

Shadeeya

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190212-WA0004.jpg
😁😁😁😁zimbwe Jr atatoa assist
 
Tunaitakia kila la kheri Timu ya Simba katika mechi ngumu ya leo. Watanzania wote tushikamane, tuwe wamoja kuhakikisha timu ya Simba inaibuka kidedea. Ushauri wangu ni kuwa leo wamuanzishe Kipa Dida kwenye goli badala ya Manula.
Ushikamane na nani,bwege ww pambana na Hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Level yetu ilikuwa mwisho kwa Nkana huku juu ni bonus ya dodo chini ya mwarobaini . Tufungwe tusifungwe leo tutamlipiza mtu 16 Feb.
 
Level yetu ilikuwa mwisho kwa Nkana huku juu ni bonus ya dodo chini ya mwarobaini . Tufungwe tusifungwe leo tutamlipiza mtu 16 Feb.
Hasira zetu zote tutazimalizia tarehe iyo hakika kwa hawa ndala fc, Leo mwenzao ananyolewa wao waanze tia maji tu
 
Back
Top Bottom