Hahahaaaa. Hapo mjipange kuwa kinyume chake Mkuu.Hajjat na wewe pia unakaribishwa kushudia utoaji posa wa kwa binti mrembo wa kiarabu jioni ya Leo, ndoa kamili ni wkend hii tarehe 16 apo apo taifa, kufika kwako kutafanikisha shughuli hizi mbili kikamilifu asante.
Ila sipati picha Mtavotujia na machungu baada ya hizi mechi, na tulivyowacheka kwa vipigo mlivovipata, sijui mtatuloga vipi safari hii, Mo anaweza kutoa hata milioni 500 uchawi ufuatwe Togo ilimradi mtupigehahahaha mkuu umenifanya nicheke peke yangu" hawa mlio watuma watulegeze, sijui kama wa taiweza iyo kazi mliyowapatia.
Hahaha, huyu mliyempa kazi ya kutulegeza ataweza mkuu??? Tarehe 16 tunataka kuwasaidia kumrudisha mkongomani kwao ili akaendelee na kazi yake ya zamani yakuimba boringo nangai.Hahahaaaa. Hapo mjipange kuwa kinyume chake Mkuu.
SijaonaHalafu Swahiba hivi Nimekutag sehemu umeona kweli?
😁😁😁😁
hahahahhaha kazi kweli kweliIla sipati picha Mtavotujia na machungu baada ya hizi mechi, na tulivyowacheka kwa vipigo mlivovipata, sijui mtatuloga vipi safari hii, Mo anaweza kutoa hata milioni 500 uchawi ufuatwe Togo ilimradi mtupige
Huta amini Leo mwarabu anachukua thalatha kwa mchinaHamna kitu kama hicho Swahiba. Muandike tu maumivu mengine sababu kile kidonda kinatoneswa kwa mara nyingine leo.
Itakuwa unatumia App basi.Sijaona
Sijapata notifications
Nimekumic aisee mzima lakini?
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
We jipe moyo tu angalia tu usije zimia Swahiba. Maana huwa hamchelewi.
Simba Leo anashinda 3 kwa 1
Makosa hayatajirudia Tena Leo kwa mchina
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushikamane na nani,bwege ww pambana na Hali yakoTunaitakia kila la kheri Timu ya Simba katika mechi ngumu ya leo. Watanzania wote tushikamane, tuwe wamoja kuhakikisha timu ya Simba inaibuka kidedea. Ushauri wangu ni kuwa leo wamuanzishe Kipa Dida kwenye goli badala ya Manula.
Chenga watatula, lakini swala la mwarabu kubatazwa na moto pale taifa lipo pale paleView attachment 1020494😁😁😁😁zimbwe Jr atatoa assist
Aya njoo na jezi yako ya ndala fc uungane na wenzio kuzomea. Mpapaso square kwa mwarabu upo pale pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo wa kushoto ni nani mkuu,kama wale gateman wa kinaija movies
Mtashinda Kwa miujiza maana Timu yenu ni mbovu nyuma ni pazia tuChenga watatula, lakini swala la mwarabu kubatazwa na moto pale taifa lipo pale pale
Tshbalalaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo wa kushoto ni nani mkuu,kama wale gateman wa kinaija movies
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mwarabu anakulegeza,jmosi tunakupiga kimoja Tu cha nguruwe watoto miaAya njoo na jezi yako ya ndala fc uungane na wenzio kuzomea. Mpapaso square kwa mwarabu upo pale pale.
Kwa hiyo leo mnafanyewa send off halafu hiyo tar 16 Ndio mnaolewa kabisa???Leo sendoff tu harusi kamili ni tarehe 16 apo apo kwa mchina
Hasira zetu zote tutazimalizia tarehe iyo hakika kwa hawa ndala fc, Leo mwenzao ananyolewa wao waanze tia maji tuLevel yetu ilikuwa mwisho kwa Nkana huku juu ni bonus ya dodo chini ya mwarobaini . Tufungwe tusifungwe leo tutamlipiza mtu 16 Feb.