Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Wewe kweli umeanza ushabiki leo hatunaga SIMBA FC Tanzania [emoji1241], tuna SIMBA SC tu wewe hiyo yako ni ya wapi
 
Wewe kweli umeanza ushabiki leo hatunaga SIMBA FC Tanzania [emoji1241], tuna SIMBA SC tu wewe hiyo yako ni ya wapi
Aisee hii mizuka niliopandisha leo dhidi ya hawa waarabu kazi kweli kweli, asante mkuu kwa kunikumbusha ngoja niweke sawa nimeanza shangalia chama hili enzi hizo fund king kibadeni ana watia goli tatu yeye peke yake hawa wa mchangani pale shamba la bibi
 
Leo paka shume anapigwa za Lukaya. Wale waliokuwepo enzi hizo vita ya Kagera inapiganwa wanakielewa kipigo ch a Lukaya.
 
Safari ile mlimfuata kidume geto kwake mkala 5 sasa leo kidume kawafuata kutandaza miti ukweni

Kila lakheri Al Ahly piga hao underdog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…