Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Simba FC kuwapapasa watoto wa Farao leo jioni pale kwa mchina

Kosi ndo hili: bado dakika kadhaa mtanange uanze
IMG_20190212_152904_815.JPG
 
....Kuna mtu ananinong'oneza hapa eti ukiwa kwa seremala kuchongesha kitanda akikuuliza cha saizi gani we mjibu tu simba kwa chelsea atakuelewa
[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom