Rai yako imefika na muda huu nipo Kariakoo nachukua jezi za Mbabane SwallowsRai yangu kwa Watanzania kama tulivyoiunga mkono Mtibwa Sugar jana naomba hizo nguvu tuzielekeze Kwa Mbabane Swallows watupigie hizo Mbumbumbu. Maana Mtibwa akishinda kombe ni la Watanzania ila Simba akishinda ni lake.
Vip bado umevaa hiyo jeziRai yako imefika na muda huu nipo Kariakoo nachukua jezi za Mbabane Swallows
??????????????????????????Mbabane juuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi