SIMBA FT 3-1

SIMBA FT 3-1

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
ALL THR BEST MTANI
HUWA KWENYE UTAIFA SINAGA ROHO MBAYA


MH AMEMSHUKURU LOWASSA KUWEPO KTK MAENDELEO YA NCHI NA KUSHAURI WAONDOE UÇHAMA KWENYE MAENDELEO YA NCHI ELSE WATAISHIA SEGE........

sasa sisi atupelekwi segadance BASI tuonyeshe uzalendo kwa SSC

KILA.LA.KHERI WAATANI
OKWI
KAGERE
HARUNA
TO SCORE ANYTYM
 
Rai yangu kwa Watanzania kama tulivyoiunga mkono Mtibwa Sugar jana naomba hizo nguvu tuzielekeze Kwa Mbabane Swallows watupigie hizo Mbumbumbu. Maana Mtibwa akishinda kombe ni la Watanzania ila Simba akishinda ni lake.
 
leo tutakuepo taifa tukishuhudia namna Mbabane anavyo mshugulikia mnyamaa 'bear' tena bila ndom, yaani viwili vinamtosha kabisaa mnyama ili baada ya miezi9 ajifungue chotara wa 'kiswazi'
 
Wanafikiri sisi ni wao waliotunguliwa nyumbani na wachovu wenzao Township Rollers ya Botswana.
 
Back
Top Bottom