- Thread starter
- #41
ushindi kwanza pasi mwakani
mnapenda kutetea ujinga..simba timu kubwa inafaa icheze kama Samba...siyo kushinda kwa mpira kama wawanafunzi wa shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushindi kwanza pasi mwakani
Mkuu naona wanakushambulia bila kujua we ni mchambuzi mkongwe kwenye game kitambo na mchezo unaujua sema mzunguko wa pili watakusoma tenamnapenda kutetea ujinga..simba timu kubwa inafaa icheze kama Samba...siyo kushinda kwa mpira kama wawanafunzi wa shule
Kwani Janga(tamka kiyahudi yanga) tunafanana nayo kivipi?MIE NI SIMBA DAMU.. LAKINI TIME YETU IMEKUWA LAZIMA SASA TUJITOFAUTISHE NA TIMU KAMA YANGA
Simba yaani sikuhizi tukiingia uwanjani tunajiuliza maswali mawili tu ,leo tutapata ushindi wa bao ngapi na nani na nani watatupia!timu gani tz inacheza mpira wa kuvutia ? labda tuanzie hapo