Simba fukuza kocha haraka sana

ushindi kwanza pasi mwakani

mnapenda kutetea ujinga..simba timu kubwa inafaa icheze kama Samba...siyo kushinda kwa mpira kama wawanafunzi wa shule
 
Mashabiki wa yanga mnapwaya sana....simba mtuachie wenyew
 
mnapenda kutetea ujinga..simba timu kubwa inafaa icheze kama Samba...siyo kushinda kwa mpira kama wawanafunzi wa shule
Mkuu naona wanakushambulia bila kujua we ni mchambuzi mkongwe kwenye game kitambo na mchezo unaujua sema mzunguko wa pili watakusoma tena
 
timu gani tz inacheza mpira wa kuvutia ? labda tuanzie hapo
Simba yaani sikuhizi tukiingia uwanjani tunajiuliza maswali mawili tu ,leo tutapata ushindi wa bao ngapi na nani na nani watatupia!
 
Daaa kwa kuwa kiroba in bei nafuu naona umekunywa pakiti 10
 
Kwel ule utafit wa 1 katika 4 uko sahh kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…