GSM Ni group of company.Ujinga na tamaa za TFF ndio zinaleta huu mkanganyiko.
Tayari GSM ameshaona kuwekeza Utopoloni ni hasara kwakuwa Utopolo inaishia humu humu, sasa wanajua Ili kupata Faida lazima uweke kitu Simba kwakuwa ndio inaitangaza Soka la Tanzania.. ukizingatia tayari Simba Ipo kwenye makundi ya Shirikisho GSM anatafuta kichochoro kwa Simba kwa Mgongo wa Udhamini wa Ligi lakini lengo lake haswa ni Simba aitangaze GSM.
Kama vile ambavyo Adidas na Puma, Sportpesa na Mbet hazikai jezi Moja. Na kama vile Uto walivyokataa Twiga mwekundu na hawakufanywa kitu basi na Simba haitavaa GSM.
Mtapata tabu sana.Kama una hela tumia hela,mwambieni Mo aweke hela kwenye mpira aache utapeli na ujanja ujanja.Weka mzigo tujue kama kweli uko serious kwenye kuwekeza kwenye Soka la Tanzania,Ligi kuu Bara GSM,Ligi daraja la kwanza Bara GSM,Ligi kuu na ligi daraja la kwanza Zanzibar GSM,Kombe la Mapinduzi Zanzibar GSM.Taarifa nilizonazo hata ligi ya Ndondo Cup GSM anaenda kudhami.Watanzania tunatakiwa tumshukuru Mungu kwa kutuletea mwekezaji mpenda soka kweli kweli,Wale vihere here na wachambuzi Chupli Chupli mtapata tabu sana tena sana Gari la GSM ndiyo limewaka.Simba ina jina kubwa kwa sasa Africa, jamaa wanataka suport ya matangazo kupitia Mnyama lakini masikini ya Mungu hawawezi.
Si tumekubaliana kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika?Mtapata tabu sana.Kama una hela tumia hela,mwambieni Mo aweke hela kwenye mpira aache utapeli na ujanja ujanja.Weka mzigo tujue kama kweli uko serious kwenye kuwekeza kwenye Soka la Tanzania,Ligi kuu Bara GSM,Ligi daraja la kwanza Bara GSM,Ligi kuu na ligi daraja la kwanza Zanzibar GSM,Kombe la Mapinduzi Zanzibar GSM.Taarifa nilizonazo hata ligi ya Ndondo Cup GSM anaenda kudhami.Watanzania tunatakiwa tumshukuru Mungu kwa kutuletea mwekezaji mpenda soka kweli kweli,Wale vihere here na wachambuzi Chupli Chupli mtapata tabu sana tena sana Gari la GSM ndiyo limewaka.