Kiukweli Simba wana hoja yenye mashiko
Ilikuleta fair ground ni vyema TFF wange mwambia Gsm iyo chapa yake iwepo ktk mabango uwanjan na sio ktk jezi.
G*m ndio waratibu was mabadiliko ktk klabu ya Yanga, wamewalipa wale wa Spain ili kuandaa draft ya mabadiliko
G*m ndio waliosimamia usajili wa wachezaj ktk clabu ya Yanga kwa misimu 2 na ushehe pamoja na usajili wa benchi la ufundi
G*m ndio wamesimamia usajili wa yule m South Africa kuja Yanga as new CEO
Leo hi G*m anasimama Kama mdhamin mwenza wa ligi lkn pia ndio wanao ratibu uendeshaji wa clabu ya utopolo ....hapa hatukuwa na usawa wa kiushiundani ...in one way or another mdhamin huyu mwenza anaweza aka alter matokeo ya mchezo.
Note pia huyuhuyu ana dhamini baadhi ya vilabu vyingine Kama 3 ivi.
Wapo wanao linganosha udhamin wa vodacom as main league spansor lkn pia aka dhamin namungo + biashara fc, hapa NI tofauti kabisa huyu G*m yy anadhamini Yanga lkn pia ana ratibu na kusimamia uendeshaji wa hi club ...kwa ajili ya kuondoa sintofahamu hapa tifutifu wajitafakari