Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa vinachacha,pia watakuwa na stress za kupigwa Zambia, mwishowe watapoteana kabisaMashabiki wa simba hamna haja ya kufurahia viporo vyenu kwani wapinzani wenu wameshinda mechi zao kwa hyo mjiandae kisaikolojia viporo kuchacha
Wanahitaji mwezi mmoja kujiandaa kwa ajili ya Nkana Red Devils.Si manara kasema kuna simba mbili moja inaenda Zambia ingine inabaki kucheza ligi, lkn nashangaa kikosi kipana kinaogopa ligi.
Lakini haikuwahi kukaa week mbili kujiandaa na ka mechi kamoja. Vinginevyo kuna timu zingemaliza ligi Yanga ikiwa na viporowatu wa yanga bhana, mbona kuna kipndi yanga ilkuwa na viporo saba kabs?leo hii simba viporo vinne tu mmeanza kuongea[emoji23][emoji23]
Si ndio nyie mlilalamika mpaka mkatishia kugomea ligi mpaka Yanga acheze viporo vyake?watu wa yanga bhana, mbona kuna kipndi yanga ilkuwa na viporo saba kabs?leo hii simba viporo vinne tu mmeanza kuongea[emoji23][emoji23]