Simba hadi sasa hamna faida na viporo

Simba hadi sasa hamna faida na viporo

[emoji83]
IMG-20181211-WA0016.jpeg
 
Mashabiki wa simba hamna haja ya kufurahia viporo vyenu kwani wapinzani wenu wameshinda mechi zao kwa hyo mjiandae kisaikolojia viporo kuchacha
Huwa vinachacha,pia watakuwa na stress za kupigwa Zambia, mwishowe watapoteana kabisa
 
Moja kati ya makosa makubwa ambayo simba imeyafanya ni pamoja na hili la kuwa na viporo vingi
 
walipeni kwanza wachezaji hela zao.
Ya simba waachie simba wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
watu wa yanga bhana, mbona kuna kipndi yanga ilkuwa na viporo saba kabs?leo hii simba viporo vinne tu mmeanza kuongea[emoji23][emoji23]
 
watu wa yanga bhana, mbona kuna kipndi yanga ilkuwa na viporo saba kabs?leo hii simba viporo vinne tu mmeanza kuongea[emoji23][emoji23]
Lakini haikuwahi kukaa week mbili kujiandaa na ka mechi kamoja. Vinginevyo kuna timu zingemaliza ligi Yanga ikiwa na viporo
 
watu wa yanga bhana, mbona kuna kipndi yanga ilkuwa na viporo saba kabs?leo hii simba viporo vinne tu mmeanza kuongea[emoji23][emoji23]
Si ndio nyie mlilalamika mpaka mkatishia kugomea ligi mpaka Yanga acheze viporo vyake?
 
Back
Top Bottom