Simba haijamsajili Morisson, ukweli ni huu

Wewe jamaa sidhani kama unao ubongo

Yaani umbumbumbu hautokuisha kamwe
 
Nakumbuka kuna kiongozi wa Yanga aliwahi kutania tu kwamba amemsainisha mchezaji wa Simba Chama. Sikilizia simbwa walivyokuja kulia lia,hasa haji manara lilimtoka povu,nchi yote ilikuwa ya simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…