babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Nazungumzia hii Tp Mazembe iliyoichapa raja ambao wamekufirimba 3-0 kwa mkapa[emoji23][emoji23]Yaani heshima kwa TP Mazembe iliyotolewa Champions League na Vipers? 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazungumzia hii Tp Mazembe iliyoichapa raja ambao wamekufirimba 3-0 kwa mkapa[emoji23][emoji23]Yaani heshima kwa TP Mazembe iliyotolewa Champions League na Vipers? 😀
Hiyo TP Mazembe haijakutana na Raja Casablanca mwaka huu. Zote Raja na TP Mazembe zilianzia raundi ya pili ya CAF Champions League. Raja ikaitoa ASN Nigelec ya Niger kwa jumla ya mabao 3-0 na TP Mazembe ikatolewa na Vipers kwa penati 4-2 baada ya kushindwa kufungana mechi zote mbili.Nazungumzia hii Tp Mazembe iliyoichapa raja ambao wamekufirimba 3-0 kwa mkapa
Man U na Barca wako Europa League Chelsea na Liva wapo UEFA je Chelsea na Liva ndio wabora kuzidi hao ?imecheza kwenye Champions League lakini, usiichanganye na taarifa za kombe la shirikisho
Labda tuwaulize walioweka utaratibu wa michujoMan U na Barca wako Europa League Chelsea na Liva wapo UEFA je Chelsea na Liva ndio wabora kuzidi hao ?
Yah jibu la mwana ukomeLabda tuwaulize walioweka utaratibu wa michujo
Kwan Barca si amecheza makundi uefa na hakupita? mechi za uefa ni chache na zinachezwa kimkakati, usidharau team. Chelsea amewahi kubeba ndoo wakati kwenye ligi hayupo top 4, Man city mara kibao anakua tishio lig kuu Ila ikija uefa hafui dafu. Timu inaweza kuwa Bora ligi kuu na isiwe Bora uefa.Man U na Barca wako Europa League Chelsea na Liva wapo UEFA je Chelsea na Liva ndio wabora kuzidi hao ?
Wakati mwenzake kwa mechi hizo 2 ana alama 6 na magoli 8.Ligi ya gongolamboto labda.
Kwanini niwe mkali wakati kuna timu imecheza mechi 2 point 0 magoli 0
Msimu ulopita mlikua wote looser league yeye alifika nusu fainali wewe ulifika wapi?Mazembe ile ya Champions League siyo Mazembe hii ya Loose League.
Na Simba ile iliyompiga Al Ahly sio hii inayopigwa 3-0 kwa Mkapa. Kiufupi Simba inatia huruma sanaMazembe ile ya Champions League siyo Mazembe hii ya Loose League.