MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa kombe mojawapo ukoje 😀 Mara zote makombe haya yameenda kwa wazee wa kutandaza soka safi na mabingwa wa kihistoria mara ya 30 wa Ligi kuu Young africans sc. Na endapo Yanga akishinda mara ya Tano anabaki na kombe lake 😀