Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

Huyo kipa Ayubu kwani ni wa Waydad au wa utopolo na amesajiliwa kwa kazi gani? Na Onana naye huo mpira aliukota tu akautumbukiza kama unavyotoa coin mfukoni na kuitumbukiza kwenye dubwi?
hifadhi hiki ulichokiandika ili ukilejelee huko mbele kidogo.
 
Wewe unaangalia kucheza vizuri au unaangalia matokeo?
 
Wewe unaangalia kucheza vizuri au unaangalia matokeo?
Naangalia vyote. Mfano, lile goli la Pacome dhidi ya madeama ni bahati yake TU kusawazisha. Sisi tunaangalia mpira na ushabiki kidogo sana. Mimi sio mwajiliwa wa hizi timu sipati pesa bali furaha TU ya ushindi na mchezo safi; biliani.
 
Kacheze wewe, boya wewe.

Nyie kenge hamna jema.

Timu imebadilika na itaenda kuimarika kabisa.

Nasema hiviii kaanzishe timu yako bora ili uje umfunge Widadi kwa huo mpira mzuri wako.

Shenzi taipu
 
Simba ni ileile ya Robertihno tu!!! Robertihno pia alikuwa akitengeneza nafasi ambazo hazitumiki kama ilivyo kwa Benchika, shida ni wachezaji hakuna, wamechoka, wako chini ya kiwango
Kacheze wewe, fala
 
Wana zile takwimu zao kwamb wao ni bora kuliko bingwa wa cafcc na super cup.
 
Yaleyale y’a Al ahly mbovu kisa kutoa draw na Simba alaf baadae sisi tupo kundi gumu ambalo mbovu al ahly naye yupo
Utopolo hawanaga akili,kujibu hoja zao ni kupoteza muda
 
Kaka kama umeuangalia vizuri mchezo, Simba ilishinda mchezo ule kwa bahati tu na zaidi kwa onana. Onana hakufanya lolote wala chochote zaidi ya kuutumbukiza mpira wavuni kama ajali tu. Ashukuriwe sana kipa Ayub, ndie aliyekuwa man of the match.
Mazwa zwa wa mpira wanakwambia ni kwa bahati.

Hawezi kuona jinsi simba walipress wakiwa zaidi ya 5 ktk box mpinzani.

Zwazwa haliwezi kujua kwamba Benchkha aliinbia na plan ya kuzuia kioindi cha pili na kumwacha mpinzani achezee mpira.

Nb: SIMBA IKISHINDA MPINZANI NI MBOVU NA NI BAHATI.

SIMBA IKIFUNGWA NI MBOVU.

HAWA NDIYO UTOPOLO. WENYE AKILI NI WAWILI TU.
 
Kwa niaba ya hospitali ya Vichaa ya MILEMBE tunaomba samahani kwani alie tuma post hii ni mmoja wa wagonjwa wetu waliotoroka hospitalini mwezi uliopita na tunatoa shukrani kwa wale woote waliohusika kupatikana kwake.
 
Kacheze wewe, boya wewe.

Nyie kenge hamna jema.

Timu imebadilika na itaenda kuimarika kabisa.

Nasema hiviii kaanzishe timu yako bora ili uje umfunge Widadi kwa huo mpira mzuri wako.

Shenzi taipu
HUmu ni rahisi kujitutumua hivyo, lakini ukiwa mwenyewe unakubali kuwa Simba ni tia maji tia maji na Yanga iko vizuri sanaaa by far. Hata benchika mwenyewe analifahamu hili kuwa Simba inahitaji mabadiliko makubwa sana kwa kutumia wachezaji wengine. Onana hajafufuka bali alikuwa na bahati; good day kazini akafunga magoli 2 kwenye timu mbovu saana iliyopoteza michezo 3 kwenye mashindano. Yaani Wydad ya sasa haina tofauti na Kagera sugar.
 
Kacheze wewe, boya wewe.

Nyie kenge hamna jema.

Timu imebadilika na itaenda kuimarika kabisa.

Nasema hiviii kaanzishe timu yako bora ili uje umfunge Widadi kwa huo mpira mzuri wako.

Shenzi taipu
Haijabadilika hata kidogo, hata Robertihno alifungwa mechi moja tu na amechukua ngao ya jamii. Simba ikikutana na Yanga leo itafungwa tena. Mnajipa false hope kwa kipya kinyemi kwa wachezaji wanaokukurika kutafuta namba kwa kocha mgeni.
 
muda ni mwalimu wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…