Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.

Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama timu nyingine kwenye kundi, lakini hali yao ya udhaifu ni ileile tu ya ubovu wa siku zote.

Kama kuna anaebisha subirini mechi zinazokuja muone. Wachezaji wana vipaji, akili inataka lakini kutenda kinachotakiwa hawawezi. Uzee...uzeee..uzeee, ukiwa mzee hata ukipata kajeraha kadogo na maumivu kidogo utachelewa kupona. Mzee akicheza mechi moja leo atahitaji wiki mbili ili awe na energy yake.
Japo ninavyojua mimi Hakuna Tusi JIPYA yote ni ya zamani Lakini Nina wasiwasi nikisema wewe unaweza kunitukana Tusi ambalo sijawai kulisikia toka nizaliwe
 
Japo ninavyojua mimi Hakuna Tusi JIPYA yote ni ya zamani Lakini Nina wasiwasi nikisema wewe unaweza kunitukana Tusi ambalo sijawai kulisikia toka nizaliwe

NA HILI PIA MKALITAZAME
Ni hatari sana kusema Simba imebadilika kwa kuiona ikicheza na Kagera sugar na wydad. Ni zuzu TU anaeweza kusema hivyo. Hii ni sawa na kusema Skudu amecheza vizuri dhidi ya mtibwa sugar mbovu. Simba Ina wachezaji hafifu.
 
Ndio kazi yake kufunga, ulitaka afanye nini?
Alibahatisha, siku nzuri kazini, mbona Leo na KMC alichemsha mapema? Kichaa haponi kaka anapata ahueni TU. Sisi tulianza kuupenda mpira kabla ya kuzipenda timu. Tunatazama mpira kaka. Simba ni mbovu.
 
Kaka kama umeuangalia vizuri mchezo, Simba ilishinda mchezo ule kwa bahati tu na zaidi kwa onana. Onana hakufanya lolote wala chochote zaidi ya kuutumbukiza mpira wavuni kama ajali tu. Ashukuriwe sana kipa Ayub, ndie aliyekuwa man of the match.
Wydad mbovu? Acha utani. Ikiwa Wydad ni mbovu hata Al Ahly nayo ni mbovu lkn mlitoka nayo draw😀😀😀
Kati ya Yanga na Wydad yupi ni mbovu?
Wydad kila msimu yupo anaingia makundi ya champion league Ameshachukua na champion league
Yanga ina miaka 25 ndiyo imeingia makundi ya champion league😀😀😀😀
 
Alibahatisha, siku nzuri kazini, mbona Leo na KMC alichemsha mapema? Kichaa haponi kaka anapata ahueni TU. Sisi tulianza kuupenda mpira kabla ya kuzipenda timu. Tunatazama mpira kaka. Simba ni mbovu.
Sawa.
Kama Simba ni mbovu
Ilikuwaje Yanga ikatumia miaka 25 kucheza makundi ya champion league?
 
Wydad mbovu? Acha utani. Ikiwa Wydad ni mbovu hata Al Ahly nayo ni mbovu lkn mlitoka nayo draw😀😀😀
Kati ya Yanga na Wydad yupi ni mbovu?
Wydad kila msimu yupo anaingia makundi ya champion league Ameshachukua na champion league
Yanga ina miaka 25 ndiyo imeingia makundi ya champion league😀😀😀😀
Isingekuwa mbovu osingefungwa na timu zote kwenye kundi na wasingemfukuza kocha.
 
Back
Top Bottom