Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

Japo ninavyojua mimi Hakuna Tusi JIPYA yote ni ya zamani Lakini Nina wasiwasi nikisema wewe unaweza kunitukana Tusi ambalo sijawai kulisikia toka nizaliwe
 
Japo ninavyojua mimi Hakuna Tusi JIPYA yote ni ya zamani Lakini Nina wasiwasi nikisema wewe unaweza kunitukana Tusi ambalo sijawai kulisikia toka nizaliwe

NA HILI PIA MKALITAZAME
Ni hatari sana kusema Simba imebadilika kwa kuiona ikicheza na Kagera sugar na wydad. Ni zuzu TU anaeweza kusema hivyo. Hii ni sawa na kusema Skudu amecheza vizuri dhidi ya mtibwa sugar mbovu. Simba Ina wachezaji hafifu.
 
Ndio kazi yake kufunga, ulitaka afanye nini?
Alibahatisha, siku nzuri kazini, mbona Leo na KMC alichemsha mapema? Kichaa haponi kaka anapata ahueni TU. Sisi tulianza kuupenda mpira kabla ya kuzipenda timu. Tunatazama mpira kaka. Simba ni mbovu.
 
Kaka kama umeuangalia vizuri mchezo, Simba ilishinda mchezo ule kwa bahati tu na zaidi kwa onana. Onana hakufanya lolote wala chochote zaidi ya kuutumbukiza mpira wavuni kama ajali tu. Ashukuriwe sana kipa Ayub, ndie aliyekuwa man of the match.
Wydad mbovu? Acha utani. Ikiwa Wydad ni mbovu hata Al Ahly nayo ni mbovu lkn mlitoka nayo drawπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kati ya Yanga na Wydad yupi ni mbovu?
Wydad kila msimu yupo anaingia makundi ya champion league Ameshachukua na champion league
Yanga ina miaka 25 ndiyo imeingia makundi ya champion leagueπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alibahatisha, siku nzuri kazini, mbona Leo na KMC alichemsha mapema? Kichaa haponi kaka anapata ahueni TU. Sisi tulianza kuupenda mpira kabla ya kuzipenda timu. Tunatazama mpira kaka. Simba ni mbovu.
Sawa.
Kama Simba ni mbovu
Ilikuwaje Yanga ikatumia miaka 25 kucheza makundi ya champion league?
 
Isingekuwa mbovu osingefungwa na timu zote kwenye kundi na wasingemfukuza kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…