Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

Yani ushindwe kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi ndo ufungwe, kwamba siku zngn mlikuwa hamfanyi mazoezi.?
 
Yani ushindwe kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi ndo ufungwe, kwamba siku zngn mlikuwa hamfanyi mazoezi.?
Ni wazi masuala mengine yako juu ya upeo wenu wa uelewa
 
Lakin sasa alieizuia simba sio yanga kwanini yanga awe victim ?
 
Kwanini mlikataa wasifanye mazoezi, mlitegemea nini
 
taratubu haisemi hivyo ,inasema sikumoja kabla ya game.....
 
Ni wazi masuala mengine yako juu ya upeo wenu wa uelewa
Kwahiyo alieizuia Simba kuzima uwanjani ni Yanga au sio ? Kivipi ? Yanga ndio manager wa uwanja na ndio ana control nani aingie na nani asiingie na kwa muda gani ? Mbona barua Yao haisemi kama Yanga ndio kamzuia huyo Simba kufanya mazoezi?....kama ndio hivyo kwanini yanga awe victim ? How ? Why ?
 
Sasa mkuu kama hamkufanya mazoezi na mkafungwa hiyo game ya uwanja wa jamhuri mbona hamkugomea iyo mechi??
Sema tu jana mliona zile 5 zinarudi mkaacha manyoya..
 
tatizo la nchi yetu kila kitu tunaleta porojo kwani kuna shida gani kuacha kanuni sheria na taratibu zifanye kazi na yule anakiuka taratibu hizo wanahusika wahukumu kwa kufuata kanuni hizo lakini kwetu hatutaki kufuata hata hizo kanunu cio walitungiwa hizo kanunu cio wanaotakiwa kuzisimamia wala cio wale wanaotakiwa kuzitafsiri nchi ya ajabu sana hii NA HAWA WANASEMA HAWATACHEZA TENA MECHI YA MARUDIO NA WALE WANA SEMA HAWATACHEZA MICHEZO ILIYO BANKI MPAKA ALIYEWAAGIZA MAKOMANDOO AJULIKANE NGOJA TUONE WENYE MPIRA WAO WATA SEMAJE. VITUKO VITUKO VITUKO WE NCHI YANGU NO REFORM NO KUCHEZA
 
Sasa mkuu kama hamkufanya mazoezi na mkafungwa hiyo game ya uwanja wa jamhuri mbona hamkugomea iyo mechi??
Sema tu jana mliona zile 5 zinarudi mkaacha manyoya..
Soma tena mada kwa utulivu hadi uielewe kabla haujachangia. Hilo litakusaidia.
 
Badala ya kulalamikia chanzo cha kutofanyika mechi ambacho ni uhuni wa Yanga, unalalamikia Simba. Shenzi kabisa
Kwa nini Yanga walizuia mazoezi kutofanyika?
 
Lakin sasa alieizuia simba sio yanga kwanini yanga awe victim ?

Mkishavurunda mnatafuta sketi za kujifichia. Juzi mlikana "makolo" siyo Simba, leo hii mnawakana watendaji wenu mnaowatuma kufanya uhuni.
 
Kwa hoja hii inamaana wasingezuiwa kuingia na polisi na mabaunsa, wangeingia ila mazoezi yangeshindikana au yangechelewa sababu ya kutokuwepo kwa maandalizi yaliyosababishwa na kutokutoa taarifa.

Uwepo wa walinzi wanaosemekana ni wa Yanga ndo imemaanisha kuwa taarifa ilikuwepo ndo maana kukawekwa ulinzi.
 
Ukomo wa majukumu wa timu mwenyeji inapokabidhiwa uwanja unakomea wapi?
 
Badala ya kulalamikia chanzo cha kutofanyika mechi ambacho ni uhuni wa Yanga, unalalamikia Simba. Shenzi kabisa
Kwa nini Yanga walizuia mazoezi kutofanyika?
Yanga sio mmiliki wa uwanja
Yanga hatunzi funguo za mageti ya uwanja
Yanga hana wataalam wa taa za uwanjani kumbuka Simba walitaka kufanya mazoezi usiku
Yanga atazuiaje Simba yenye msafara wa police
Yanga alikuwa mwenyeji kiitafaki tu lakini analoweza kuzuia Kwa Simba kufanya mazoezi
Hilo haliwezekani Simba walikimnia mechi
 
Tatizo mnadekezwa saa kumbe mpaka huku kwenye soka la wanawake mnadeka. Tabia za kudeka mmezitoa kwenye soka la wanawake mmezileta kwenye soka la wanaume.
 
Toka lini ukaona Yanga ana walinzi?
Kwanini Simba hawakupoga simu hapo Chang'ombe police station waje kuwaondoa hao waharifu na wafanye mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…