Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

Yanga haitambui nafasi wala mfanyakazi baunsa
Hao ni watu waliwekwa na Simba kusinguzia na kukwepa mchezo

Iliwezekana vip Simba waende uwanjani bila kuwapa taarifa wamiliki na kamshina wa mchezo
Hivi yule muhuni aliyempiga mbata bila sababu mshabiki wa Simba anayeitwa Dr. Mohamed ni nani kama siyo hao hao tunaita mabausa wenu?
 
Usikasirike fuata kanuni!
 
SOMENI TAARIFA YA BODI YA LIGI, SABABU YA KUHAIRISHA MECHI SI MOJA TU, KUNA MAMBO YALILETWA NA WANAUSALAMA WA MICHEZO HAYAJAWEKWA WAZI.

INASHANGAZA SANA JAMBO LIMEANDIKWA WAZI ILA HALIONEKANI. HATUPENDI KUSOMA TUNAPENDA POROJO.
Yanga haitambui nafasi wala mfanyakazi baunsa
Hao ni watu waliwekwa na Simba kusinguzia na kukwepa mchezo
Porojo
Iliwezekana vip Simba waende uwanjani bila kuwapa taarifa wamiliki na kamshina wa mchezo
Soma aya ya mwisho ya taarifa ya bodi ya ligi usikomalie tu masuala ya kuzuiwa kufanya mazoezi, Uhalali wa kuahirisha mechi upo aya ya mwisho.
 
Kwa hiyo TFF na Bodi ya Ligi ni wapumbavu walipoandika kwenye barua Yao kuwa Simba hawakutoa taarifa Kwa wenyeji, Afisa wa mechi na Meneja wa uwanja!?? TFF na Bodi ya Ligi ni wapumbavu!??
 
Ulikuwa wapi kuandika haya wakati huo huo baada ya simba kupoteza mchezo huo? Wewe ni mnafiki na unatafuta chaka la kujifichia baada ya BODI YA LIGI na SIMBA yako kuingia mtegoni. Sisi yanga tupo kama waangalizi wa yale maamuzi mtakayatoa.
 
Unatapatapa mkuu huna lolote.
 
Sababu ya kuhairishwa mechi haipo
Tunatembea na kanuni
Basi tuchukulie Simba alizuiwa na Yanga asifanye mazoezi kwaiyo solution ni kugomea mchezo
 
Sababu ya kuhairishwa mechi haipo
Tunatembea na kanuni
Basi tuchukulie Simba alizuiwa na Yanga asifanye mazoezi kwaiyo solution ni kugomea mchezo
Aya ya mwisho inasema sababu ya kuhairishwa mechi haipo? Mkuu, mbona wewe ni mtu smart pamoja ya kwamba ni utopolo?
 
Aya ya mwisho inasema sababu ya kuhairishwa mechi haipo? Mkuu, mbona wewe ni mtu smart pamoja ya kwamba ni utopolo?
Hueleweki
Sababu kama ipo siutaje?
 
Hueleweki
Sababu kama ipo siutaje?
Hahaha, we jamaa bana.

Ok, Taarifa ya bodi inasema bodi imepokea taarifa za kiusalama yenye matukio yaliyoambatana na tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi na kwamba baadhi ya matukio yanahitaji uchunguzi ambao hauwezi kukamilika kwa wakati.

TAFSIRI:
1. Tukio lililopelekea kuhairisha mechi si Simba kutokufanya mazoezi tu.
2. Kuna matukio ambayo hayawekwi wazi sababu hayajathibitishwa, yanachunguzwa.
3. Matukio hayo yana uhalali kikanuni wa kuhairisha mechi.

Tupo pamoja?

Inamaana baada ya uchunguzi lolote linaweza kutokea kati ya:

1. Mechi kurudiwa
2. Simba kunyang'anywa point au kupewa adhabu au vyote kwa pamoja
3. Yanga kunyang'anywa point au kupewa adhabu au vyote kwa pamoja.

Hii itategemeana na hayo mambo ambayo hayajawekwa wazi na yapo kwenye uchunguzi.
 
Watu wa mpira hatukurupuki.

Kuna mdau mmoja wa mpira tena Yanga lialia Tate Mkuu aliwahi kukiri kuwa kuinyima timu pinzani fursa ya kufanya mazoezi ni mbinu nzuri ya kisaikolojia kuivuruga timu hiyo.

 
Uwe unaelewa,simba alikuwa mwenyeji hivyo alicheza Kwa gharama zake"his own cost"
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…