We ni kiazi mbatata kabisa!!! Yaani timu imetoa taarifa yakutokucheza mechi afu unakuja kutapika hapa haijagomea mechi?, Kwahiyo Kati ya Bodi ya ligi mwenye mamlaka ni nani?. Yaani tamko litoke simba afu Bodi ya ligi walitii?, Kila mwenye akili timamu anajua mpk huyo msengelema karia anajua kuahirishwa kwq mechi ilikuwa planned.