Simba haikugomea mechi

Simba haikugomea mechi

Kasome barua ya Simba waliyopost kabla ya tamko lolote la bodi ya ligi,,walikuwa na mamlaka Gani ya kutoa official statement kwamba awapeleki timu uwanjani kabla ya kuwasiliana na bodi ya ligi na bodi ya ligi ndio ingetoa statement yenyewe kwanza juu ya mechi husika na sio Simba!
Bodi walibugi walitakiwa wapuuze barua ya simba.
 
Kuandika siyo shida bodi wangesimamia mechi ichezwe ili waone kama simba wamesusa kweli. Sasa mechi imeahirishwa simba waende uwanjani?
Screenshot_20250311_111137_Instagram.jpg

Baada ya ile barua jamaa yenu jamaa akasisitiza au huyu kichaa.

Okay Kwa hiyo nyie siku hizi ofisi zenu zinapokea barua kwa njia ya Instagram au Instagram ndio njia officially za kupokea barua?
 
Back
Top Bottom