kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga.
Huku ni kupenda timu yako bila kupenda mpira wenyewe. Simba, Azam, KMC, Mashujaa, zimefungwa na Yanga ingawa hazina udhamini wa GSM, hii imekaaje?
Soma Pia: Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair
Azam anayo timu pia, lakini anadhamini timu zote kwenye ligi, kwanini Azam fc haichukui ubingwa kila mwaka? wamefilisika waongeze usajili.