mkuu, ukiongea kama shabiki uko sawa, ila kama mdau wa mpira wetu, kuna jambo halipo sawa!
GSM ni mdhamini wa Yanga, sio tu mdhamini bali ndiye anaunda safu ya uongozi ya Yanga........ viongozi wa Yanga ni wafanyakazi wa GSM, kwaio kwa namna moja au nyingine, GSM ndiye Yanga......
sasa, mtu kama huyu kudhamini timu zingine za ligi hiyo hiyo ambayo Yanga inashiriki ni kutengeneza mianya ya kupanga matokeo (kwa lugha rahisi kunakua na conflict of interest hapo, kati ya GSM kampuni, GSM uongozi wa Yanga, na GSM mdhamini wa vilabu vingine, of which viongozi wanaoratibu hayo ni hao hao kina Hersi), hii ni sawa na Fatma Dewji angekua kiongozi wa Simba, kisha METL iwe mdhamini wa dodoma jiji.....
hili ni tofauti na Azam tv, ambapo uongozi wa Azam tv ni tofuati na ule wa Azam FC, japo mmiliki ni mmoja, SSB,......
angalia hii picha kwa mfano
View attachment 3072440